Joan Rivers aliweza kuaga dunia akiwa New York City mwezi September 4, na sasa chanzo kikuu cha kufa kwake kimeweza kutatuliwa.
Mwanzoni wengi walimtilia shaka yule daktari wa koo aliyepiga pinafsi na Joan alipokuwa amezirai lakini kulingana na afisa mkuu wa uhudumu jijini New York amekuja na habari tofauti ambayo wengi hawangependa kuiskia... Joan Rivers alifariki kutokana na ukosefu wa hewa ya oxygen kwa ubongo wake.
Ripoti hio imeongezea kuwa ugonjwa wa Joan ulikuwa na changamoto kuutibu hasa ikijulikana kuwa upasuaji wake ulikuwa na sintofahamu nyingi.
Joan kabla kufariki alikuwa amepelekwa hospitali kwa matibabu ya kawaida kuitengeneza njia ya mkondo wa hewa.

Chanzo Cha Kifo Cha Joan Rivers Chabainishwa
Reviewed by Admin
on
Friday, October 17, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano