Unordered List

Definition List

Kim Kardashian vs Amber Rose, Nani Katoklezea?

Ok tangu Amber Rose aachane kirasmi na Wiz Khalifa inaonekana Amber anajaribu kushindana na Kim kwa style yeyote ile ambayo anayoifanya.

Kuanzia kupiga picha akionyesha makalio yake kama Kim hadi mitindo ya fasheni.

So jana Kim alivaa kiguo ambacho kilimfanya Kanye West kumuangalia mara mbili mbili na kutabasamu. Well, inaonekana Amber Rose pia huo mtindo keshauvaa.

So nani mshindi hapa?

Kim Kardashian vs Amber Rose, Nani Katoklezea? Kim Kardashian vs Amber Rose, Nani Katoklezea? Reviewed by Admin on Monday, October 20, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.