Finally ebola imefika Marekani (sijaisema kama nafurahia), hii imewafanya waamerika wengi kuingiwa na woga wa kumsalimia mtu yeyote anayeshikilia passpoti iliyoandikwa 'am from Africa'.
Nani ndiye aliyepeleka ebola Marekani?
Thomas Eric Duncan (pichani) ameingia katika kumbukumbu ya kuwa mtu wa kwanza kabisa kuonekana na ugonjwa wa ebola nchini humo. Inasemekana Thomas ambaye ni raia wa Liberia alikuwa katika ziara ya kuitembelea familia yake jijini Dallas jimbo la Texas tarehe 20 mwezi Septemba.
Kulingana na Dallas Independent School District Superintendent Mike Miles anadai kuwa watoto wa jamaa huyu hawajaonyesha dalili zozote za ebola lakini kwa kuchukua tahadhari wahudumu wamelekwa sehemu ambayo watoto hao wanasoma ili kuangalia kama kuna uwezekano wa ugonjwa huo kusambaa.
Ugonjwa wa ebola mpaka sasa haijabata dawa madhubuti ya kuizuia.

Picha Ya Jombi Aliyepeleka Ebola Nchini Marekani
Reviewed by Admin
on
Thursday, October 02, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano