Unordered List

Definition List

Nazizi Anyoa Nywele. Arudi Kwa Usanii Kimtindo

Msanii wa nyimbo za rap jijini Nairobi amerudi na full force katika tasnia ya muziki.

Nazizi ambaye amefahamika tangu zamani kwa mtindo wake wa kuimba nyimbo za rap amefunguka kuwa sasa ameamua kuiteka hadhira yake ambayo alijitenga nayo miaka mingi iliopita.

Na la kwanza alilofanya ni kuwa ameujeuza mtindo wake wa nywele.

Cheki picha





Amepita ama ametisha?
Nazizi Anyoa Nywele. Arudi Kwa Usanii Kimtindo Nazizi Anyoa Nywele. Arudi Kwa Usanii Kimtindo Reviewed by Admin on Saturday, October 18, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.