Unordered List

Definition List

Mtangazaji Wa TimesFM Dida Adai Hana Matumaini Ya Kuolewa Tena, Wanaume Ni Wale Wale

Stori: Imelda Mtema

NDOA basi! Mtangazaji wa Kituo cha Redio cha TimesFM, Khadija Shaibu ‘Dida’ amezima ndoto za kuishi maisha ya mke na mume kwa kudai kuwa, amebaini kujiingiza kwenye ulimwengu huo ni kujipa ‘stress’ za kujitakia.

Akizungumza na Ijumaa Wikienda juzi, Dida alisema baada ya kuachana na aliyekuwa mume wake, Edzen Jumanne, amebaini wanaume wote lao ni moja hivyo kama atakubali kuingia kwenye ndoa na mwanaume mwingine, itakuwa ni yaleyale.

“Yani sasa hivi hata aje mwanaume na gia gani siwezi kukubali kuolewa tena, kwa kifupi sina ndoto za kuitwa mke wa mtu tena, bora nibaki peke yangu nifanye mambo yangu,” alisema Dida.

GPL
Mtangazaji Wa TimesFM Dida Adai Hana Matumaini Ya Kuolewa Tena, Wanaume Ni Wale Wale Mtangazaji Wa TimesFM Dida Adai Hana Matumaini Ya Kuolewa Tena, Wanaume Ni Wale Wale Reviewed by Admin on Monday, October 20, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.