Unordered List

Definition List

WEMA SEPETU NA DIAMOND PLATINUMZ WAMERUDIANA!!!

Mbivu na mbichi imejulikana rasmi!

Baada ya miezi mirefu ya uvumi, udaku na vyanzo visivyoeleweka kusambaa kuhusu Diamond Platinumz na uhusiano wa kimapenzi na wapenzi kadhaa, sasa Platinumz ameamua kuongea rasmi.

Wema amerudiana na Diamond...hii ndio stori kuu ya mwaka.

Diamond aliweza kumtambulisha Wema Sepetu kama mpenzi wake uwanjani Leaders Club ambapo aliwafahamisha mafans wake kutaka kumjua mpenzi wake.
''Mntaka kumjua mchumba wangu?'' Diamond alisema kwa madaha kabla kumtambulisha Wema Sepetu kama mpenzi wake.



Baada ya muda mfupi alipanda stejini mwanadada Wema Sepetu na kuanza kucheza na Diamond na kukumbatiana naye kuonesha ishara ya penzi lao jipya hilo lililorudi kwa kasi.
WEMA SEPETU NA DIAMOND PLATINUMZ WAMERUDIANA!!! WEMA SEPETU NA DIAMOND PLATINUMZ WAMERUDIANA!!! Reviewed by Admin on Friday, December 27, 2013 Rating: 5

2 comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.