Unordered List

Definition List

USHAURI WAKO HAPA!!!!

Hallo admin.

Tafadhali nakuomba ulifiche jina langu lisiweze kuonekana na yeyote. Mimi ni msichana wa miaka 21 na naishi na mamangu mzazi. babangu mzazi aliaga dunia mwaka juzi na sasa mamangu ameamua kuchumbiana kwa mwanamume ambaye ni mdogo kiumri ukilinganisha na mamangu. Tatizo ni kwamba hivi majuzi, baba huyo ameonyesha kunipenda na ameniambia hakuna shida akinichanganya mimi na mamangu. Naogopa tunaweza kushikwa lakini ameniambia mara kwa mara kuwa nisikuwe na wasiwasi kwani anajua vya kufanya. Mimi ningekataa lakini baba huyo ni mrembo na nimevutiwa na yeye. naomba ushaul wenu kuhusu hili jambo coz nimenitatiza kwa muda.
Admin naamini kuwa unauwezo wa kuzuia jina langu lisisambae kwa watu,naomba nyote munisaidieni.
USHAURI WAKO HAPA!!!! USHAURI WAKO HAPA!!!! Reviewed by Admin on Monday, December 02, 2013 Rating: 5

3 comments:

  1. Mimi naonelea udndelee hivyo hivyo kwani umekuwa mtu mzima mwenye akili zake

    ReplyDelete
  2. Mwambie mamako kuwa unampenda huyo mume labda anaweza kukuachia

    ReplyDelete

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.