Unordered List

Definition List

IRENE UWOYA: Nilidhaniwa Kuwa Changudoa

Muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Irene Paul amesema haikuwa rahisi kuigiza kama changudoa (msichana anayejiuza mwili) kwenye filamu kuhusu masuala ya Ukimwi, Shujaa.

Akiongea na mtandao wa Bongo5, Irene alisema hajawahi kufanya filamu ya aina hiyo lakini alipofuatwa kuigiza hakusita kukubali kwa kuwa alitaka kuonesha utofauti katika uigizaji wake.

Hata hivyo aliongeza kuwa wakati wa kushoot filamu hiyo mtaani watu wengi walihisi kweli ni changudoa.“Changamoto zilikuwa nyingi sana. Kuna sehemu nyingine nilikuwa nikisimama katika movie na watu walifikiri mimi ni changudoa wa ukweli kulingana na nguo na kila kitu,” alisema.
 
“Ilichukua muda wa ziada kufanya vitu ambavyo vitanifanya nionekane tofauti ndio maana mpaka Zamaradi aliweza kunitofautisha mimi uchangudoa wangu na uchangudoa.

Tazama picha za tatoo alizochora Irene Uwoya za makalioni >>HAPA<<
IRENE UWOYA: Nilidhaniwa Kuwa Changudoa IRENE UWOYA: Nilidhaniwa Kuwa Changudoa Reviewed by Admin on Wednesday, December 04, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.