Katika mahojiano ya moja kwa moja na gazeti la The Guardian, R. Kelly ameonyesha kumtetea Chris Brown kuwa yeye ni mfanano sawa na shujaa kama vile Martin Luther King, boxer Mohammed Ali na pia mfanao wake na Yesu.
Jambo ambalo lilimfanya yeye kuwa na huu mtazamo ni kuwa Chris kwa muda aliweza kuangushwa kimziki lakini baadae aliweza kuenuka na sahizi yupo juu.Pia aliongezea kuwa watu ambao hawajiwezi ndio huwa ni mahasimu ambao wanajaribu kuwaangusha wenzao.
"Mostly what I've come to find is that the weak people are the ones that are the haters."
"The ones that's talking about Chris Brown, or R. Kelly, or anybody that's successful? I feel sorry for them, not Chris Brown, because he's obviously one strong individual to be able to do what he's done," Kelly said, explaining:
"He got knocked down a little bit and he climbed up. You know, that sounds like Ali to me. That sounds like Martin Luther King to me. That sounds like a lot of the greats that have walked this earth. It even sounds a little bit like Jesus to me.”
R. Kelly kimtazamo wangu ni mwimbaji aliyerukwa na akili...nani hajui kuwa Chris Brown alimpiga Rihanaa na sahizi yuko katika siku 90 za rehab kwa sababu ya utumizi mbaya wa madawa ya kulevya.
R.Kelly naye mwaka wa 1996 alikuwa na hutma za kufanya ngono na msichana aliye chini ya miaka 18.
R.Kelly Amemfananisha Chris Brown Na Yesu
Reviewed by Admin
on
Wednesday, December 11, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano