Msanii huyo aliendelea kusema kuwa "Unajua Nay kwenye maapenzi ni balaa anajua sana yani sikuamini kama ningekuja kuachana nae lakini kutokana na mazingira ya yule mtu sikuwa na jinsi nikaamua kumpigia chini" Alisema Hata hivyo Nisha alizitaja sababu kubwa zilizopelekea kuchukua uamuzi huo ni pamoja na ukorofi wa mwanamuziki huyo pamoja na matusi matusi ndiyo maana alichukua maamuzi hayo magumu.
Miezi michache tu iliyopita Nisha alikuwa akitumia kila mbinu kutafuta mapenzi kutoka kwa Nay
Nisha Afunguka Kwa Nini Amekataa Penzi La Ney Wa Mitego
Reviewed by BkuHabari Admin
on
Monday, May 12, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano