Unordered List

Definition List

Kutana Na Kanisa Ambalo Siku Za Wiki Ni Klabu, Wikendi Ni Kanisa (Helicopter Ministry)

Ukistaajabu ya Musa utaona ya firauni. Kutana na kanisa ambalo watu hulewa siku ya Jumamosi hadi che! halafu siku ya Jumapili mwakaribishwa na mchungaji kwa maombi.

Kanisa lenyewe lapatikana mizingani mwa jiji la Nairobi na lenye jina tata la Helicopter Ministry.

Mji wa Nairobi siku hizi haushangazi tena kwani watu washauzoeza kwa vioja kuanzia makanisa ya makahaba hadi makanisa ya mashoga. Kile kitu ambacho bado hakijajitokeza ni kanisa l waumini wakiwa uchi.

Cheki kanisa lenyewe la Helicopter Ministry.

Kutana Na Kanisa Ambalo Siku Za Wiki Ni Klabu, Wikendi Ni Kanisa (Helicopter Ministry) Kutana Na Kanisa Ambalo Siku Za Wiki Ni Klabu, Wikendi Ni Kanisa (Helicopter Ministry) Reviewed by Admin on Friday, May 30, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.