Unordered List

Definition List

Shakira Atoa Video Ya La La La (Brazil 2014), Cheki Akina Nani Wako Ndani Ya Video

Video bab kubwa ya nyimbo ya La La La imeachiliwa na Shakira tangu siku ya juzi.

Nyimbo hii ambayo ni official song ya World Cup imeweza kuwashirikisha wachezaji watajika kama vile Lionel Messi, Gerard Piqué, na Cesc Fabregas.

Hebu relax uingalie full song hapo chini:

Shakira Atoa Video Ya La La La (Brazil 2014), Cheki Akina Nani Wako Ndani Ya Video Shakira Atoa Video Ya La La La (Brazil 2014), Cheki Akina Nani Wako Ndani Ya Video Reviewed by BkuHabari Admin on Saturday, May 24, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.