Unordered List

Definition List

Picha Za Uchi Za Rihanna Zilizochangia Kufungiwa Akaunti Yake Ya Instagram

Rihanna sahizi hayupo mtandao wa Instagram, kisa ni kuwa mwanadada huyu ameendelea kurusha picha zisizokuwa na maadili.

Kwa kuonyesha kuwa hakuridhika kufungiwa akaunti yake, Riri aliingia kwa Twitter na kudai kuwa Instagram ni feki kwa kuweka maneno haya:
 "#PHAKE!!!! Let's be clear, I do NOT have an IG account,"

Picha zilizochangia kufungiwa kwa Instagram yake ni picha ambazo alipiga na gazeti la Lui ambalo lilionyesha picha zilizovuka mipaka.

Ijapokuwa Instagram ilidai kuwa kulikuwa na makosa, Riri ashaamua kuwa hana shughli tena na Instagram.

Cheki picha zenyewe ambazo zimekuwa gumzo kwa mtandao::

Rihanna Si Mwanadada wa kuona haya kwa jambo lolote
Sisemi kituu hapa
Riri akipozi na gazeti la Lui, yuko U.C.H.I

Like page yetu ya facebook utumiwe picha zaidi za Riri kwa inbox yako na zile ambazo ni unrated.
Picha Za Uchi Za Rihanna Zilizochangia Kufungiwa Akaunti Yake Ya Instagram Picha Za Uchi Za Rihanna Zilizochangia Kufungiwa Akaunti Yake Ya Instagram Reviewed by BkuHabari Admin on Wednesday, May 21, 2014 Rating: 5

1 comment:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.