Unordered List

Definition List

Mwamko Mpya Wa Vera Sidika Baada Ya Kujichubua, Amekuwa Gumzo

Wiki iliopita Vera ameweka wazi kuwa amejichubua ngozi yake na kama humpendi basi meza wembe.

Mabadiliko ya Vera Sidika, Kuanzia kuwa mweusi kama makaa hadi mweupe kama pamba
Mabadiliko haya yamemvutia mtangazaji mwenye utata Nairobi Caroline Mutuku ambaye anafanya shoo na radio ya KISS100.

Katika Instagram ya mtangazaji huyo, amemshauri Vera aende akafanye mahojiano ya moja kwa moja na yeye lakini masharti ni kuwa abadilishe passport zake, documents zake muhimu na kila kitu chake muhimu (maashirio ya kubadilisha rangi yake basi kila kitu chake kibadilike)

Cheki post aliyoirusha mtangazaji huyo:

Mwamko Mpya Wa Vera Sidika Baada Ya Kujichubua, Amekuwa Gumzo Mwamko Mpya Wa Vera Sidika Baada Ya Kujichubua, Amekuwa Gumzo Reviewed by Admin on Tuesday, May 27, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.