Unordered List

Definition List

Picha Official Za Harusi Ya Kimye Kwa Hisani Ya E!

Kim Kardashian na Kanye West waliweza Kufanya harusi yao tarehe 24 wikendi iliopita jijini Florence ambapo mastaa watajika waliweza kuhudhuria sherehe.

Harusi hio iliaminika kuwa harusi kuu ambayo haijawahi kutokea zaidi ya miongo kadhaa.
Ijapokuwa Kimye walifanya kila wawezavyo kuifanya harusi yenyewe iwe ya siri, mapaparazi waliwaandama kila walipoenda kupata habari zozote kutoka kwao.

Lakini sahizi picha official kutoka runinga ya E! wameweza kutoa picha za kwanza za harusi ya Kimye.

Hebu zicheki hapo chini

Picha Official Za Harusi Ya Kimye Kwa Hisani Ya E! Picha Official Za Harusi Ya Kimye Kwa Hisani Ya E! Reviewed by Admin on Wednesday, May 28, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.