Unordered List

Definition List

Je Wamjua Nani Anayemsumbua Snura Kimapenzi? Mfahamu Hapa

Mamaa Majanga, Snura Mushi akijiachia kijanja na mpenzi wake DJ Hunter. 
MAMAA Majanga, Snura Mushi amekiri kutoka katika uvungu wa moyo wake kuwa amedhibitiwa vilivyo na penzi la jamaa anayetoka naye kwa sasa aitwaye DJ Hunter hivyo hawezi kuachika.

Akipiga stori na paparazi, Snura alifunguka kwamba tofauti na wanaume wote aliowahi kuwa nao, DJ Hunter wanapendana kwa dhati na anaamini ndiyo chaguo sahihi kwake.  “Sijawahi kuwa na mpenzi nikamtambulisha kwenye media bila kuwa nimempenda kwa dhati, tunapendana sana na Hunter, hatuwezi kuachana kwa mipango ya binadamu,” alisema Snura.

SNURA HUNTER
Je Wamjua Nani Anayemsumbua Snura Kimapenzi? Mfahamu Hapa Je Wamjua Nani Anayemsumbua Snura Kimapenzi? Mfahamu Hapa Reviewed by BkuHabari Admin on Saturday, May 24, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.