Unordered List

Definition List

Jackline Wolper Afunguka Kuhusu Mahusiano Yake Na Ney Wa Mitego


Jackline Wolper amefunguka kuhusiana  na moja ya shutuma zinazoendelea kumkabili kila anapoamka. Mdada huyo mwenye kujituma sana amefunguka kuhusu shutuma za kumuhusisha yeye na msanii mkali  wa Hiphop , Ney wa Mitego. Mwanadada huyo akiongea na Vibe Tanzania  alidai hajawahi kuwa hata na number ya Ney wa Mitego sasa akisikia kwamba ana mahusiano na mwana Hiphop huyo anashangaa sana kwani hata hajui maana halisi ya kuzagaa kwa maneno hayo  yasiyo na maana wala source.

Wolper aliendelea kufunguka kwamba hayuko tayari kusikia uzushi huu ukiendelea na wala hatowaacha wanaosambaza umbea huu kwani hajui nia yao. Msanii huyo amekua akiandamwa na romours moja baada ya nyingine kwani alipewa scandalz ya kusagana kabla haijapotea imeingia ya Ney wa Mitego huku Wolper huyo huyo akihusiswa kuwa na mahusiano na G model.
Vibe
Jackline Wolper Afunguka Kuhusu Mahusiano Yake Na Ney Wa Mitego Jackline Wolper Afunguka Kuhusu Mahusiano Yake Na Ney Wa Mitego Reviewed by Admin on Tuesday, May 27, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.