Unordered List

Definition List

Ini Edo, Staa Wa Nigerian Nollywood Movies Aanzisha Biashara Ya Kuuza Mikate

Staa anayevuma africa nzima kwa urembo na kwa sinema za Nollywood ameamua kupanua biashara yake kwa kuanza kuuza mikate.

Waambiwa kazi haichagui mtu.

Kupitia akaunti yake ya Instagram, mdada huyu ameitangaza biashara yake na yupo serious kuongeza mikwanja yake.

Je msanii wako anapiga biashara gani?

Cheki picha ya Ini Edo aliyoirusha Instagram.

Ini Edo, Staa Wa Nigerian Nollywood Movies Aanzisha Biashara Ya Kuuza Mikate Ini Edo, Staa Wa Nigerian Nollywood Movies Aanzisha Biashara Ya Kuuza Mikate Reviewed by Admin on Tuesday, May 27, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.