Unordered List

Definition List

Lady Jay Dee Ajiandaa Kupigana Katika Gazeti La Vibe

Msanii aliyekomaa katika tasnia ya muziki Lady Jay Dee anatarajiwa kuwa katika kava ya mbele ya gazeti la Vibe.

Tofauti na mastaa waliotangulia katika gazeti hilo, Lady Jay Dee amevalia magwanda ya kupigana.

Hii inaashiria kuwa Lady Jida yuko tyt kwa gemu ya usanii.

Cheki cover pictures zilizoachiliwa n Vibe.

Lady Jay Dee Ajiandaa Kupigana Katika Gazeti La Vibe Lady Jay Dee Ajiandaa Kupigana Katika Gazeti La Vibe Reviewed by Admin on Friday, May 30, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.