Unordered List

Definition List

DAVIS, Mshindi Wa TPF4 Amekuwa Maskini! Chanzo Ni Madada Wa Kenya

Star aliyeweza kuiteka hisia za madada na kumfanya kushinda Tusker Project Fame 4, Davis amekuwa maskini.

Chanzo ni kuwa alikuwa akitembea na madada wa Kenya.

Kulingana na Davis, msanii huyu kutoka Uganda alikodisha nyumba jijini Nairobi na kuanza kuchezea wanawake wa Nairobi ovyo.

Davis aliweza kushinda Shiling 5 milioni za Kenya baada ya kutangazwa mshindi rasmi.

Staa huyu pia analaumu jiji la Nairobi kuwa jiji ambalo maisha yake ni ghali na pia wanawake wake hawakumpatia nafasi nzuri kuzitumia pesa zake kwa manufaa.

Tetesi zinasemekana kuwa David amekuwa maskini kiasi cha kuwa sasa staa huyu anaishi na wazazi wake nchini Uganda.

Chezea mamanzi wa Nai wewe...
DAVIS, Mshindi Wa TPF4 Amekuwa Maskini! Chanzo Ni Madada Wa Kenya DAVIS, Mshindi Wa TPF4 Amekuwa Maskini! Chanzo Ni Madada Wa Kenya Reviewed by Admin on Monday, December 23, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.