Unordered List

Definition List

MWANAMZIKI SHAA NI MJAMZITO!!


Shaa
Staa anayesifika kuwa wa kwanza nchini Tanzania kwa kupata views nyingi kwa muda mfupi katika mtandao wa YouTube, Shaa ni mjamzito.

Staa huyu anayesifika kwa nyimbo ya 'Sugua Gaga' ambayo iliweza kupigwa marufuku kwa mtandao wa YouTube kwa kukiuka masharti na matumizi sasa yuko tayari kuwa mama.

Kulingana na account ya staa huyu ya Instagram, Shaa_tz, aliweza kuweka vifaa vya vyombo vya watoto wachanga vikiwemo chupa, vitambaa na viatu.

Katika Instagram yake pia aliongezea maneno haya:

Baby shopping yaanza…am soooo excited! #GodisGreat #allsmiles #babies #family

Mtandao wa bkuHABARI unamtakia kila la heri,,hongera 'gaga'
MWANAMZIKI SHAA NI MJAMZITO!! MWANAMZIKI SHAA NI MJAMZITO!! Reviewed by Admin on Thursday, December 05, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.