Unordered List

Definition List

Hisia Za Rebecca Black Na Video Yake Ya 'Friday'

Baada ya miaka miwili na nusu ya kutoa video ya 'Friday' ambayo ilikuwa viral kwa kuangaliwa sana, sasa Rebecca ametoa video kuonyesha vile anavyojihisi baada ya video hio.

Alitoa video hii kusherehekea siku ya Black Friday ambayo ni siku inayosherehekewa nchini Marekani...na siku yenyewe ni Black Friday, hebu itazame hii video:


Lakini hio video haiwezi kuishinda video ambayo ni original iliyoweza kuhit dunia nzima.
Tazama video original hapa chini

Hisia Za Rebecca Black Na Video Yake Ya 'Friday' Hisia Za Rebecca Black Na Video Yake Ya 'Friday' Reviewed by Admin on Tuesday, December 03, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.