Unordered List

Definition List

BARNABA AONYESHA CHOMBO CHAKE KWA MTANDAO!!!

Bado huamini kwamba mziki wa bongo sasa unalipa? Kama umejibu ndiyo nakushauri u-update fikra zako sababu wasanii wa miaka ya sasa wamekuwa wakionesha mafanikio ya aina mbalimbali yanayotokana na kazi ya muziki wanayoifanya.


Barnaba wa THT leo amemwonesha ‘baby wake’ mpya kupitia Instagram, tena akiwa bado hata hajapewa ‘birth certificate’.


Ameionesha gari yake mpya aina ya Toyota Mark X ikiwa bado na chasis namba na kuandika “Oyeaaaaa Thanx Lod imetimia”.


Katika picha nyingine Barnaba a.k.a baba Steve aliandika “New”, na picha ya tatu aliandika “Kaz nzuri na mambo mazuri”.
BARNABA AONYESHA CHOMBO CHAKE KWA MTANDAO!!! BARNABA AONYESHA CHOMBO CHAKE KWA MTANDAO!!! Reviewed by Admin on Thursday, December 19, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.