Unordered List

Definition List

SNL: Waking Up with Kimye, Christmas Edition!

Saturday Night Live, kipindi kinachoangazia maisha ya wasanii kwa njia ya kinaya/kuchekesha, siku ya Jumamosi kiliangazia maisha ya Kim na Kanye West kwa mara nyingine.

Katika hio shoo Jay Pharaoh Kanye amekubali umbo jipya la Kim Kardashian baaada ya miezi sita tangu kumzaa mtoto wake North ambayo iliangazwa katika gazeti la Us Weekly.

Pia familia ya Kardashian walifanya nyimbo ya Krismas, Kardashian Kristmas Karolers. Pia waligusia ile video ya uchi ya Bound 2 iliyomshirikisha Kim na Kanye.
Hebu cheki video hapa chini ucheke zaidi

SNL: Waking Up with Kimye, Christmas Edition! SNL: Waking Up with Kimye, Christmas Edition! Reviewed by Admin on Monday, December 23, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.