Unordered List

Definition List

Kim Kardashian Amnunulia North West Lamborghini

Hatutarajii madogo kutoka kwa watoto wa mastaa mwanzo mtoto wa Kim Kardashian. Hivi majuzi aliweza kuonyesha zawadi alizopewa na madesigner watajika ulimwenguni.

So si jambo la kushangaza tukisikia Kim amemnunulia mtoto wake gari la aina ya Lamborghini.

Kim amemnunulia mtoto wake gari ndogo saiz ya North West inayofanana na gari la Kanye West mwenyewe.

Kim kupitia mtandao wa Instagram wikendi iliopita aliamua kuwarushia picha hii kwa mafans wake wote...nafahamu hatapoteza shabiki yeyote baada ya picha hii.

Hebu cheki picha halafu maoni ubaki nayo mwenyewe.


Kim Kardashian Amnunulia North West Lamborghini Kim Kardashian Amnunulia North West Lamborghini Reviewed by Admin on Tuesday, December 31, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.