Unordered List

Definition List

Picha Za Bikini Za Kim Kardashian: Zilikuwa Za Uongo, Zimepigwa Msasa

Kim Kardashian
Picha ya Kim Kardashian akitoka Shopping
Kim Kardashian anafanya akina dada wengi kutamani kuwa na umbo kama lake.

Lakini tatizo ni kuwa Kim anachukua nafasi pia kuwahadaa madada ili kuamili kuwa mwili wake ni natural na hakuna kisu wala upasuaji uliofanyika.

Katika picha zilizozambazwa katika jarida la Us Weekly, inakisiwa kuwa Kim Kardashian alipiga njama na paparazzi ili waweze kutoa picha zile.

Kulingana na Kim akiliambia jarida la Extra, hizo picha hakupata kuziona na yeye pia alidai kuwa hizo picha alipigwa kighafla wakati alipokuwa ufuoni baharini na wenzake kabla kujificha.

Lakini kulingana na kampuni ambayo walipiga picha hizo walidai kuwa walifanya njama na Kim ili wapige picha hizo halafu kutumia ujanja kuwa zilipigwa kighafla. "Kim anapenda mwili mwembamba na wakuvutia kwa hivyo ilitubidi tufanye editing katika hizo picha."

Kim Kardashian Us Weekly

Baada ya hapo inakisiwa kuwa Kim alizipiga msasa na kuchagua zile picha nzuri halafu zikauzwa kwa gazeti la Us Weekly kwa $100,000. Huu ndio ujanja wa mastaa, wanapanga njama na mapaparazi halafu wanagawa faida nusu kwa nusu.

Sasa Kim lazima ajitetee kuwa mwili wake uko sawa baada ya miezi sita tangu ya kujifungua North West. Ina haja gani ya kudanganya?

Hii inarudia ule wakati ambapo Kim Kardashian alipotoa filamu yake ya ngono na Ray J na kusingizia kuwa ilivuja na hakuhusika kwamwe.

Lakini ni nani atamuamini kila anachosema Kim?


Picha Za Bikini Za Kim Kardashian: Zilikuwa Za Uongo, Zimepigwa Msasa Picha Za Bikini Za Kim Kardashian: Zilikuwa Za Uongo, Zimepigwa Msasa Reviewed by Admin on Sunday, December 15, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.