Unordered List

Definition List

Kim Kardashian Apinga Tetesi Kuwa Anampaka Vipodozi Nori West

Hii wiki Kim Kardashian aliweka picha mpya ya mtot wake Nori West kwa mtandao wake wa Instagram.

Ilikuwa nzuri lakini tetesi nazo zilikuwa nyingi.

Baada ya watu kuiona picha hio mpya ya Nori West, Twitter iliamshwa na mashambulio na maswali yakiuliza kama Kim Kardashian alikuwa akimpaka vipodozi Nori West kwa macho,,,

Kuzima makali hayo, Kim aliingia kwa ghafla kwa Twitter na kuanza kujibu tetesi huku akiuliza maswali ya balagha kama kweli yeye anaweza kumweka mtoto wake mchanga vipodozi, pia aliendelea kumtetea baadae kuwa Nori West ameumbwa na macho ya kuvutia na kope zake nyeusi...

Hivi ndivyo alivyoandika kwa Twitter yake:
"Do people really think I would wax my daughter's eyebrows so young?".

 "Come on, I'd wait until she's at least 2 1/2!"

"I'm kidding!!! It's pretty sick for people to insinuate that I would wax my daughter's eyebrows. They are thick, natural, and amazing!" 


Kim siku hizi anajaribu kubadilisha miondoko yake mitandaoni ikiwemo ya mwisho kushambuliwa baada ya yeye kushukiwa kuwa alipiga msasa picha yake ya bikini ili aonekane na mwili wa kuvutia zaidi.
Kim Kardashian Apinga Tetesi Kuwa Anampaka Vipodozi Nori West Kim Kardashian Apinga Tetesi Kuwa Anampaka Vipodozi Nori West Reviewed by Admin on Thursday, December 19, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.