Unordered List

Definition List

Video Ya Kumkumbuka Paul Walker, Sehemu Kali Alizoigiza Katika Filamu Za Fast & The Furous

Staa wa filamu za Fast & The Furious aliweza kuaga wiki iliyopita kutokana ajali mbaya ya gari. Watengezaji wa filamu hizo wameamua kumkumbuka mwigizaji huyu kimtindo.

Hata kama ulikuwa unamchukia ama kumpenda, staa huyu alikuwa anapendwa sana na washabiki wake, marafiki na familia yake na pia alikuwa staa mwaminifu, aliyetulia na hakuwa na matata yeyote.

Katika video hii, Paul alikuwa mchezaji ambaye alikuwa katika kikosi cha FBI, na kujeuka kuwa mtu wa kuendesha magari mitaani na mtu mtulivu kwa jina Brian O' Conner.

Icheki hapa:

Video Ya Kumkumbuka Paul Walker, Sehemu Kali Alizoigiza Katika Filamu Za Fast & The Furous Video Ya Kumkumbuka Paul Walker, Sehemu Kali Alizoigiza Katika Filamu Za Fast & The Furous Reviewed by Admin on Sunday, December 08, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.