Unordered List

Definition List

Justin Bieber Kuacha Musiki?!?

Wote ambao wanamchukia Justin Bieber sahiz wanafuraha ilioje baada ya staa huyo kuweka wazi kuwa ataachana na mziki.

Katika interview na Power 106 jijini Los Angeles, Justin Bieber ameweka wazi kuwa ataachana na musiki.

Bieber wiki inayokuja anatarajiwa kuachilia album yake mpya kabisa ya Journal ambayo nyimbo zake kadhaa zishawachiliwa wa mtandao.

Kweli staa huyu anatuchezea akili ama ni vipi,,,kwani Justin Bieber kwa sasa amezidi kuwa maarufu katika mziki na siku ya Desemba 25 anatarajiwa kutoa filamu yake mpya.

Hebu cheki interview alivyolezea halafu ujaze wewe.

Justin Bieber Kuacha Musiki?!? Justin Bieber Kuacha Musiki?!? Reviewed by Admin on Friday, December 20, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.