Unordered List

Definition List

Mike 'Sonko' Mbuvi Aonyesha Simu Yake Yenye Umbo la Mwanamke Aliyevalia Bikini

Msanii mwanasiasa wa Kenya Mike Mbuvi Sonko ni msanii anayepeta masifa na anayependa kuonekana hadharani kwa uwezo wake wa kuvutia hadhira kwa haraka.

Hivi majuzi, msanii huyu aliweza kuonyesha iPad yake iliyotengenezwa kwa dhahabu na vifaa vingine anavyovimiliki vilivyoundwa kwa dhahabu.

Sasa hivi majuzi mwanasiasa huyu ameweza kuonyesha simu yake  ya mezani ambayo ina umbo ya mwanamke aliyevalia bikini.

Cheki hapa:

Mike 'Sonko' Mbuvi Aonyesha Simu Yake Yenye Umbo la Mwanamke Aliyevalia Bikini Mike 'Sonko' Mbuvi Aonyesha Simu Yake Yenye Umbo la Mwanamke Aliyevalia Bikini Reviewed by Admin on Saturday, December 07, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.