Unordered List

Definition List

Master J Ndiye Babake Mtoto Mtarajiwa Wa Shaa?!?

Shaa na Master J
Kufikia sasa wafahamu kuwa msanii Shaa anatajia mtoto.

Hii ni baada ya kuweka dalili kwa mtandao wake wa Instagram kuwa mtoto wake hayuko mbali na kufika duniani.

Lakini swali ni nani babake mtoto?!?

Staa huyu wa nyimbo Sugua Gaga nadhani ashatoa jawabu. Kulingana na mahojiano yake na kipindi cha ng'ang'ari, Shaa amebainisha wazi kuwa anampenda sana Master J na hajutii kwa nini yuko naye kwa sasa.

Ingawa Shaa analaumika kwa kumnyakua Master J kutoka kwa mchumba wake wa ndoa(J alikuwa na bibi), Shaa hajutii na uhusiano wake wa kimapenzi na Master J umekuwa mkubwa kiasi cha kuwa hivi sasa wanaishi pamoja.

Kwa sasa Shaa ni mja mzito, je inamaana kuwa Master J ndio babake mtoto?
Master J Ndiye Babake Mtoto Mtarajiwa Wa Shaa?!? Master J Ndiye Babake Mtoto Mtarajiwa Wa Shaa?!? Reviewed by Admin on Wednesday, December 11, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.