Unordered List

Definition List

Lulu Michael Katika Mazoezi: Hataki Stress Na Kuwa Mnene(PICHA)

Staa wa Bongo Movies Lulu Michael ameamua kuingia gym kirasmi. Hii ni baada ya hofu kwake kukwepa kuwa na mwili mkubwa kama wa 'lulu' mwenzake Aunty Lulu.

Katika mtandao wake wa Instagram, staa huyu ameweza kuweka picha zake akuwa gym akifanya mazoezi.

Pss! angalia mtindo wake wa nguo anazovaa.



Lulu Michael Katika Mazoezi: Hataki Stress Na Kuwa Mnene(PICHA) Lulu Michael Katika Mazoezi: Hataki Stress Na Kuwa Mnene(PICHA) Reviewed by Admin on Wednesday, December 18, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.