Unordered List

Definition List

Rick Ross Amdiss MC Wa BET Chris Rock Kwa Hutuma Za Unene Wa Ross

Siku ya jana ilikuwa ya furaha kwa wote walioweza kushinda tuzo la BET Awards, na pia ilikuwa siku ya vichekesho kwani MC ambaye alikuwa akiongoza shoo nzima Chris Rock alikuwa akiwashambulia baadhi ya mastaa ikiwemo Chris Brown, Dr. Dre na wengine.

Lakini ile iliyozua hisia ni baada ya kumuinjoy Rick Ross kwa kuwa ni mnene kupindukia (Rick Ross muda huu anafanya mazoezi ya kupunguza mafuta)

Katika Twiiter, Rick Ross alimdiss Chris Rock kwa kumwambia amechapa- yaani hio joke yake haikuwa bunifu zaidi.
ok! tukio zima lilitokea baada ya Chris Rock kudai kuwa ana diabetes:
“Dre has Beats, Rick Ross has DiaBEATS,”

Halafu ile iliyozua hisia ni baada ya kudai kuwa kati ya marapa wote nchii Marekani, Rick Ross atakuwa wa kwanza kufariki na ugonjwa wa saratani ya matiti.

Hivi Ross ana haki ya kumdiss ama afaa amezee tu!
Rick Ross Amdiss MC Wa BET Chris Rock Kwa Hutuma Za Unene Wa Ross Rick Ross Amdiss MC Wa BET Chris Rock Kwa Hutuma Za Unene Wa Ross Reviewed by Admin on Monday, June 30, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.