Unordered List

Definition List

French Montana Na Khoe Kardashian Wakijienjoy Nchini South Africa

French Montana wikendi iliyopita alikuwa katika MTV MaMa Awards kufanya shoo jijini Durban.

Na kupoteza muda wake huko, rapper huyo alimualika mpenzi wake Khloe Kardashian ili kutalii sehemu za huko.

Katika akaunti yake ya Twitter, French Montanna aliandika
"Sometimes you don't know how blessed you are. #gratefil #southafrica,” huku akisimama kando na twiga.

Baadaye pia alirusha post nyingine akisema kuwa ameufurahia muda wote alipokuwa Africa Kusini na sahizi anarudi NY.

"had a blast in Africa" but is now heading "back to NY,"

French Montana Na Khoe Kardashian Wakijienjoy Nchini South Africa French Montana Na Khoe Kardashian Wakijienjoy Nchini South Africa Reviewed by Admin on Wednesday, June 11, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.