Unordered List

Definition List

Huyu Jamaa Ndie Aliyempachika Agness Masogange Mimba!?

TRENDs za Agness Masogange kwenye mtandao wa INSTAGRAM.

Kama mnavyojua mdada Agness Masogange kwa muda sasa yupo nchini Afrika Kusini na amekuwa sio mchoyo wa picha zake, wakati wote amekuwa anashare nasi picha zake kupitia ukurasa wake wa Instagram.

Stori inayoangaa ni kuwa Masogange yupo na mshkaji huko Sauzi na inaaminika kuwa Masogange ni mjamzito...(Kwa bongo hapa huwa anajishughulisha na kazi ya kushoot video)

Kupitia kile anachoweka huko Instagram hatimaye imedhihilika wazi kwa jamaa hapo pichani anaitwa Louis Donarld....ndio mpango mzima kwa staa huyu...

TEMBEA NAMI: Picha ya kwanza ya huyu jamaa alipost miezi miwili iliyopita!!!


Wambea tukapotezea...

Wiki iliyopita alitupia tena picha ya huyu jamaa bila kuandika chochote...
... washambenga tukahisi kuna....MAUMIVU NIACHE....MAHABA NIKUMBATIE hapa....hahahahahaha!!!!

Na kweli toka jana usiku fujo ikaanza huko INSTAGRAM..Masogange aliweka picha hapo chini na kuandika:

"Mtoto si unanielewa, in diamond voice" punde jamaa nae akaposti the same picha na kuandika "With my Everything"

Daah kumbe nilikuwa nachelewa...jamaa kitambo alishaweka wazi kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM.....
Alikuwa anaweka picha za Masogange na kufunguka ya moyoni......

Jionee mwenyewe!!!

Hongera sana Jamaa kwa kumtuliza dada yetu....na hakikisha arudi tena BONGO....
Huyu Jamaa Ndie Aliyempachika Agness Masogange Mimba!? Huyu Jamaa Ndie Aliyempachika Agness Masogange Mimba!? Reviewed by Admin on Thursday, June 12, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.