Unordered List

Definition List

Picha Za Harusi Ya Kim Kardashian-Kanye West Mpya Kutoka E!

E! Wamepata exclusive right kuonyesha picha za harusi za Kimye na kila wakati wanatutease na picha moja moja kwa muda za wawili hawa.

Well, E! Wameangusha picha ya kwanza officially ya wanandoa hawa wakiwa pamoja na North West.

Cheki picha yenyewe


Pia wamerusha picha nyingine siku hio ya 24 wakimuonyesha Kanye na wakwe zake. Khloe Kardashian akimbeba North...pamoja na Kourtney Kardashian, Kris Jenner, Kendall Jenner and Kylie Jenner wote wakiwa wamekusanyika kumsikiliza Kanye akitoa rap.

Cheki picha


Hii picha ilipigwa baada ya harusi. Khloe anadai kuwa walikuwa wanazungumza jinsi harusi hio ilivyokuwa ya fanaka.
"We were all discussing how calm and dream-like the wedding was. The peace in Kim and Kanye was undeniable. We all felt as if they had been married in another lifetime. I have always believed these two are soul mates."

Waweza kutembelea E! Upate picha zaidi za harusi ya Kimye na pia uangalie zaidi kwa bkuHABARI Blog hapa
Picha Za Harusi Ya Kim Kardashian-Kanye West Mpya Kutoka E! Picha Za Harusi Ya Kim Kardashian-Kanye West Mpya Kutoka E! Reviewed by Admin on Thursday, June 12, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.