Unordered List

Definition List

Ney Wa Mitego Na Gari Jipya; Hii Ndio Zawadi Yake Ya Kusherehekea Siku Yake Ya Kuzaliwa

Siku ya juzi msanii wa Bongo Fleva kupitia kwa akaunti yake ya mtandao alisema amejinunulia gari jipya mwenyewe kama zawadi yake ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa.

Na kwa kuonyesha kuwa haya yote ni ukweli, Ney sasa amerusha picha ikionyesha gari lenyewe aina ya Nissan Morano.

Cheki gari lenyewe.







Ney Wa Mitego Na Gari Jipya; Hii Ndio Zawadi Yake Ya Kusherehekea Siku Yake Ya Kuzaliwa Ney Wa Mitego Na Gari Jipya; Hii Ndio Zawadi Yake Ya Kusherehekea Siku Yake Ya Kuzaliwa Reviewed by Admin on Thursday, June 12, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.