Unordered List

Definition List

Linah: Sipendi Kutumia Kinga

Stori: Gladness Mallya
MSANII wa kike anayetesa kwenye Bongo Fleva, Esterlina Sanga ‘Linah’ ametoa mpya baada ya kuibuka na kueleza wazi kuwa, awapo faragha hapendi kutumia kinga.

Linah alisema hayo wakati akizungumza na mwakilishi wa kona hii jijini Dar es Salaam wikiendi iliyopita, ambapo alisisitiza kuwa anachukia sana mipira ya kike na kiume wakati wa tendo kwa vile zinamkata stimu.

Soma: Wanaume Ambao Wako Tayari Kupokea UKIMWI
           Irene Uwoya: Nilidhaniwa Kuwa Changu Doa

“Sema naogopa ukimwi na magonjwa mengine ndiyo maana nalazimika kutumia kwa ajili ya afya yangu lakini kiukweli kabisa, sipendi kabisa kinga,” alisema Linah.

Hivi karibuni, gazeti hili liliripoti habari ya staa huyo wa muziki kudungwa mimba na mdosi kabla ya siku chache baadaye kugundulika kuwa, kiumbe chake kilichoropoka.
GPL
Linah: Sipendi Kutumia Kinga Linah: Sipendi Kutumia Kinga Reviewed by Admin on Wednesday, March 05, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.