Unordered List

Definition List

Ile Picha Bora Zaidi Kutoka Oscars Na Twitter Yapata Msisimko...

Imekuwa picha ya kwanza kuvunja rekodi ya kusambazwa zaidi ulimwenguni mzima.

Na sahizi kumewekwa picha nyingine mfanano lakini yenye ucheshi ndani yake.

Siku kadhaa baada ya Ellen Degenes kuweka picha yenye mastaa kadhaa kwa mtandao wa Twitter, watu nao wameamua kuibadilisha picha hio iliyosambaswa sana.

Picha ya kwanza iliyosambazwa na Jared Leto, imemuonyesha kibonzo Homer Simpson akijaribu kujiingiza kwa nguvu ndani ya picha hio lakini Bradley Cooper aliweza kumpiga teke na kumuondoa.
Picha ya pili inawaonyesha wote katia hio picha wamejeuzwa na kutengenezwa na LEGOs, picha inayofanya kutabasamu na mambo ya mtandao.






Halafu picha yenyewe iliyoongelewa sana ndio hiyo hapo chini...



Cheki uandalizi wa picha yenyewe hapa
Ile Picha Bora Zaidi Kutoka Oscars Na Twitter Yapata Msisimko... Ile Picha Bora Zaidi Kutoka Oscars Na Twitter Yapata Msisimko... Reviewed by Admin on Thursday, March 06, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.