Unordered List

Definition List

Kim Kardashian-Kanye West Tarehe Ya Harusi Imewekwa!!! Itakuwa Siku Ya....

Kwa muda tumekuwa tukingojea kufahamu siku ya wawili hao wataweza kuoana lini. Na kama tulivyotarajia, wawili hawa hawakuiweka mbaliiii...

Wawili hawa watafishana pete jijini Paris kama vile uvumi ulivyokuwa ukienea,

Wahudhuria pia hawatakuwa wengi sana, watu 150 pekee.

Halafu siku yenyewe ya harusi imewekwa siku ya.....

Kim na Kanye siku walipochumbiana
Pete aliyopewa Kim na Kanye uwanja wa AT&T Park walipochumbiana

Jumamosi 24 Mei mwaka huu...iko karibu!

Halafu inasemekana mtoto wao North West, ambaye atatimiza mwaka mmoja Juni 1 atakuwa na jukumu kuu katika harusi hio.

Ona ile video wakati Kanye West Alipompigia Magoti Kim Kardashian Amchumbie

Kim je?

Kim Kardashian hadi wasasa hajafikiria vazi atakalovalia siku hio kubwa ambayo imeandaliwa kwa wawili hao. Kim anadai kuwa ashafanya shoping kiasi lakini bado hajaridhika. Anajiskia mwenye nguvu na amejawa na furaha tele huku akingojea siku hio kuu kwake.
Kim Kardashian-Kanye West Tarehe Ya Harusi Imewekwa!!! Itakuwa Siku Ya.... Kim Kardashian-Kanye West Tarehe Ya Harusi Imewekwa!!! Itakuwa Siku Ya.... Reviewed by Admin on Thursday, March 06, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.