Unordered List

Definition List

Picha Za Justin Bieber Alizopigwa Na Polisi Zimeachiliwa Kwa Mtandao!

Justin Bieber tangu mwaka jana amekuwa akifuatwa na visanga na kuingizwa korokoroni mara kwa mara. Staa huyu mwenye albamu ya Journal ameweza kupigwa picha na polisi kutoka Miami Police Department na picha hizo zimetolewa kwa umma waziangalie.

Ok round hii Bieber hakuwa na chake kwani polisi iliwalazimu wamvue nguo zake zote na kumpekua tattoo zake zote za mwilini...

Baadhi ya picha zenyewe ndizo hapo chini...


Picha Za Justin Bieber Alizopigwa Na Polisi Zimeachiliwa Kwa Mtandao! Picha Za Justin Bieber Alizopigwa Na Polisi Zimeachiliwa Kwa Mtandao! Reviewed by Admin on Wednesday, March 05, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.