Unordered List

Definition List

Uzushi!! Diamond Platinumz Na Wema Sepetu Walikwaruzana

Kama alivyosema mwenyewe kuwa Diamond Platinumz lazima awe mume wake, sasa kumeanza kutokeza mapya kuwa mwanadada huyu wa kipindi cha In My Shoe anashindwa kustahimili tabia za msanii Platinumz.

Tatizo kwani ndilo lipi?

Inasemekana lakini ....Habari kutoka Segment ya U-Heard ya Sudi Brown wa Clouds FM imehabarisha kuwa Wema na Diamond Juzi Alhamisi walikwaruzana baada ya Wema kuhisi kuwa Diamond anatoka na Mwanamuziki wa Kenya Victoria kimani ..hii ilitokea Diamond na Victoria walipokuwa Studio wakifanya wimbo inasemekana Diamond hakumwaga Bi Wema , Wema aliona tu kwenye Instagram kuwa mida hiyo Diamond yupo na Victoria ndio ikabidi awafungie Safari na kuzua Timbwili la haja , Inaonekana Wema aliona Wivu baada ya kuwa na Tetesi kuwa Diamond anatoka na Mwanadada huyu kutoka Kenya...

Haijapita hata miezi 6 kabla Wema na Diamond kuchumbiana hadharani...

Je nyota yao haionekani kudumu ama  ni dua la mamake Wema Sepetu liko karibu kutimia?

Uzushi!! Diamond Platinumz Na Wema Sepetu Walikwaruzana Uzushi!! Diamond Platinumz Na Wema Sepetu Walikwaruzana Reviewed by Admin on Saturday, March 15, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.