Unordered List

Definition List

Loveness Diva Apondwa Baada Ya Kumtamani Lulu Michael Kimapenzi

Mwanadada Loveness aka Diva the Boss mtangazaji wa Clouds fm kipindi cha Ala Za Roho, kinachozungumzia maswala ya mapenzi na mahusian  juzi  usiku alijikuta akielezea hisia zake kwa Muigizaji  Elizabeth Michael a.k.a Lulu  na  kudai  kuwa  anampenda  sana...

"Kutoka moyoni nampenda sana huyu binti, ningekuwa mwanaume ningemfuata na kumtongoza, sema mimi  ni mwanamke tu"
Hii ilikuwa kabla ya kucheza wimbo wa atatamani ambayo ni version  ilioimbwa na Lulu. Wimbo halisi uliimbwa   na Linnah msanii kutoka THT.

Lulu Michael Miongoni Mwa Wanawake Warembo Afrika

Hata hivyo kauli ya Diva imepokelewa kwa hisia tofauti na watu hasa katika mitandao ya kijamii wakimponda Diva kuwa ni lazima atakuwa msagaji. Angalia baadhi ya comments za mashabiki mbalimbali kutoka page ya Bongoswagz



Loveness Diva Apondwa Baada Ya Kumtamani Lulu Michael Kimapenzi Loveness Diva Apondwa Baada Ya Kumtamani Lulu Michael Kimapenzi Reviewed by Admin on Sunday, March 23, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.