Unordered List

Definition List

Lady Jaydee Kimya Kimya Baada Kushinda Tuzo Lake La 30

Lady Jaydee amedhihirisha kwa mara nyingine kuwa yeye ndiye msanii bora mwanamke East Afrika.

Hii ni baada ya kushinda tuzo lake la 30 katika tasnia ya usanii katika AFRIMMA Awards iliyofanyika Texas Marekani...

Kama kawaida yake ya kuingia majini na kusapraiz watu kimshtuko, Lady Jide kwa akaunti yake ya mtandaoni na kuanika haya maneno "Tuzo Yangu ya 30, Nimeipokea na Ninarudi Nayo Nyumbani.Shhhhhh! !!! Kimya Kimya".

Hongera kwako
Lady Jaydee Kimya Kimya Baada Kushinda Tuzo Lake La 30 Lady Jaydee Kimya Kimya Baada Kushinda Tuzo Lake La 30 Reviewed by Admin on Wednesday, July 30, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.