Unordered List

Definition List

Kim Kardashian Apiga Pinafsi Akiwa Gym

Latest pikture kutoka kwa Kim Kardashian imemuonyesha staa huyu akiwa mazoezini katika gym.


Katika picha hii Kim aliweka maneno: "Gym time while my baby is napping!"


Kim Kardashian Workout Selfie (Pinafsi)


Haijulikani bayana kwa nini Kim Kardashian ameamua kupiga picha akiwa gym, lakini kwa kutaja jina la mtoto wake North West alikuwa akitilia mkazo jambo flani.


Wiki jana katika mitandao ya kijamii mafans walikuwa wakimkashifu Kim kwa kupiga picha nyingi za mwili wake huku akitelekeza majukumu yake kama mzazi.


Wengi walikuwa wakiulizia mbona Kim hapigi picha za mtoto wake kama ilivyokuw awali, so kujibu maswala haya yote Kim ameamua kutupa picha hii halafu kugusia kuwa mtoto wake yuko chumbani akilala.
Kim Kardashian Apiga Pinafsi Akiwa Gym Kim Kardashian Apiga Pinafsi Akiwa Gym Reviewed by Admin on Monday, July 21, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.