Unordered List

Definition List

Hussein Machozi Anaswa Katika Fumanizi Na Mke Wa Mwanasiasa, Apewa Masaa 24 Kusepa Nchi


Msanii mwenye sauti ya kinanda Hussein Machozi amenaswa katika fumanizi na mke wa mwanasiasa mashuhuri mjini Mombasa.

Kutio zima lilifanyika huko Mombasa katika hoteli maarufu ya 5 staa ya Sarova White Sands ambayo maovu hayo yalifanyika.

Ok tukio zima lilifanyika bila kuhusisha kamera wala nini lakini waliokuwa katika sehemu hio wanadai Hussein Machozi alipewa kichapo cha mbwa aliyeingia msikitini (OFM ingekuwa area ingeweza kutoa udaku zaidi).

Kulingana na mwanasiasa huyo (jina limebanywa kuepusha aibu) ni mmoja wa wanasiasa wenye ushawishi mkuu kwa Raila Odinga na amempa makataa ya masaa 24 Hussein Machozi aitoke Kenya kama hataki maisha yake yawe hatarini.

Hussein Machozi alikuwa na ziara ya kuizindua kazi yake mpya na Sauti Sol kabla kuumwaga mtama mwenyewe.

Tisha!!! Tegea humu ndani kwa habari zinavyokuja
Hussein Machozi Anaswa Katika Fumanizi Na Mke Wa Mwanasiasa, Apewa Masaa 24 Kusepa Nchi Hussein Machozi Anaswa Katika Fumanizi Na Mke Wa Mwanasiasa, Apewa Masaa 24 Kusepa Nchi Reviewed by Admin on Thursday, July 24, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.