Unordered List

Definition List

Rihanna Asherehekea #Team_Germany Akiwa Uwanja Wa Rio De Janeiro

Siku ya jana ilikuwa shangwe baada ya team ya Germany kuiadhiribu Argentina kwa kuipatia kipigo ambacho kamwe kitabaki mioyoni kwao.

Katika kusherehekea Germany, msanii wa Marekani Rihanna alikuwa mmoja wa mashabiki wakiishabikia timu hiyo na kupitia kwa mtandao wake wa Instagram mdada huyu aliweza kurusha baadhi ya picha kimtindo wake.

Cheki picha zenyewe


A flash of fun: Rihanna shared a picture of herself flashing during the World Cup final on Sunday evening
Rihanna sandwich: The singer shared a picture of her clutching the cup while being kissed by players Podolski and Shweinsteiger

Wild thing: The singer jumped up and down with joy clasping the shirt in her handrihannaMan of the match: Rihanna enjoyed a drink with Mario Götze - the German player who scored the winning goal
Rihanna Asherehekea #Team_Germany Akiwa Uwanja Wa Rio De Janeiro Rihanna Asherehekea #Team_Germany Akiwa Uwanja Wa Rio De Janeiro Reviewed by Admin on Monday, July 14, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.