Unordered List

Definition List

Selena Gomez Kwa Instagram: Pray for Gaza...

Staa wa nyimbo za pop nchini Marekani amefunguka kuhusu vita vinavyoendelea kanda ya Middle East.

Akiandika kwa Instagram kuwa "Its about humanity" Selena Gomez aliweka post ambayo ameuchua msimamo wa kuwaombea wote wanaokumbwa na majanga sehemu kwa kuandika: "Pray for Gaza".


Selena Gomez amekuwa staa wa Marekani wa mwisho kabisa kugusia kuhusu siasa zinazoendelea kati ya Palestine na Israel. Juzi Rihanna alipost twitter # freePalestine lakini baadaye aliidelete fasta na kudai ilikuwa bahati mbaya.

Lakini kwa Selena Gomez hakurudi nyuma, mwanzo kuhamasisha ujumbe wake aliongezea: “Please pray for those families and babies today. Please always remember what’s important in life,”.

Alimalizia kwa kusema "#wearethenextgeneration."

Selena Gomez ndiye mpenzi wa Justin Bieber ambaye wanakumbana na tetesi kadhaa
Selena Gomez Kwa Instagram: Pray for Gaza... Selena Gomez Kwa Instagram: Pray for Gaza... Reviewed by Admin on Sunday, July 20, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.