Unordered List

Definition List

Picha Ya Beyonce Akiyaonyesha Mat!t! Yazua Joto Instagram

Beyonce anaweza kuimba nyimbo zozote zikiwemo zile nyimbo ambazo hudai kufanya ngono nyuma ya gari akiwa amelewa lakini kitu tunachokijua ni kuwa Queen Bey ni mwanamke ambaye ni 'motherly material' haswa ikija na masuala ya mitandao ya kijamii.

Maybe bado hatujawahi kuona pinafsi za style ya Kim Kardashian kutoka kwa Bey za kupiga picha za vifua wazi (inasikitisha) but leo mdada huyu wa 'partition' ameamua kwa mara ya kwanza kabisa kuonyesha sehemu kubwa ya kifua chake kwa mtandao.

Jambo hili liliamsha hisia za wengi wa mafans wake Instagram na kudai picha hii iliwashika kama sapraiz ambayo kamwe haikuitarajiwa. Wengi waliishia kudai Bey a

Kwa muda sasa kumekuwa na udaku unaoenea kila mahali kuwa Beyonce na Jay Z wameachana, jambo ambalo Beyonce mpaka sahizi hajafunguka kulizungumzia.
Picha Ya Beyonce Akiyaonyesha Mat!t! Yazua Joto Instagram Picha Ya Beyonce Akiyaonyesha Mat!t! Yazua Joto Instagram Reviewed by Admin on Monday, July 28, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.