Unordered List

Definition List

Sarakasi Kutoka Brazil Baada Ya Team_Brazil Kufungwa Kama Watoto


Basi lililochomwa na mashabiki wa Brazil waliokuwa na hasira likiteketea kwa moto.
Vikosi vya zimamoto vikijaribu kuzuia moto huo.
Taswira baada ya basi hilo kuteketea kwa moto.
Polisi wakimdhibiti shabiki huko Belo Horizonte baada ya mechi ya nusu fainali.
Mashabiki wa Brazil wakiwa na majonzi baada ya kipigo cha 7-1.
BAADA ya kubugizwa mabao 7-1 na Ujerumani katika mechi ya nusu fainali ya Kombe la Dunia 2014, mashabiki wa Brazil wameamua kuchoma moto basi.
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo huko Sao Paulo nchini humo baada ya mechi hiyo iliyopigwa Belo Horizonte.
Mashabiki walichukua hatua hiyo kutokana na hasira za timu yao kuondolewa katika michuano hiyo inayofanyika nyumbani kwao.
Sarakasi Kutoka Brazil Baada Ya Team_Brazil Kufungwa Kama Watoto Sarakasi Kutoka Brazil Baada Ya Team_Brazil Kufungwa Kama Watoto Reviewed by BkuHabari Admin on Wednesday, July 09, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.